February 10, 2021

Day

TOMATO
  Amidi wa Shule Kuu ya Uchumi Kilimo na Stadi za Biashara (COEBS) anakualika katika semina fupi juu ya uuzaji na utafutaji wa masoko ya mazao ya mbogamboga. Mwasilishaji wa mada ni Bw. Elisha Otaigo, mjasiriamali katika kilimo biashara. Bw. Otaigo Elisha (31), ni mhitimu wa Shahada ya Uchumi wa Kilimo na Kilimo Biashara (BSc...
Read More
VC TBC LIVE
Karibu katika kipindi kitakachorushwa hewani leo tarehe 10/2/2021 saa tatu usiku  kupitia televisheni ya Taifa (TBC) tuwasikilize Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Cha Sokoine cha Kilimo (SUA) Prof.Raphael Chibunda pamoja na Amidi wa Shule kuu ya Uchumi Kilimo na Stadi za Biashara Dr. Philip Damas katika mada isemayo “Sekta ya Kilimo kwa Maendeleo ya Taifa...
Read More
https://www.pria.org/https://www.vicino-oriente-journal.it/https://cefta.int/https://www.ami-awards.com/https://www.cihanturkhotel.com/slot gacor terbaik