BARAZA DOGO LA WAFANYA KAZI, SHULE KUU YA UCHUMI KILIMO NA STADI ZA BIASHARA_2021

BARAZA DOGO LA WAFANYA KAZI, SHULE KUU YA UCHUMI KILIMO NA STADI ZA BIASHARA_2021

 

Mkutano wa tisa (9) wa Baraza Dogo la Wafanyakazi Shule Kuu ulifanyika siku ya Jumatano tarehe 24/02/2021 katika ukumbi wa Mikutano wa Shule Kuu. Baraza Dogo lilihudhuriwa na wajumbe 24, na Mwenyekiti wa mkutano alikuwa Dr. P. Damas, Amidi wa Shule Kuu. Baraza Dogo lilijadili mambo kadhaa yanayohusu ustawi wa kazi na Wafanyakazi kwa ujumla na kutolea maamuzi baadhi ya hoja hizo. Hata hivyo Baraza Dogo linawasilisha hoja tatu kama malipo ya likizo na kutahini tasnifu katika Mkutano wa 121 wa Baraza Kuu la Wafanya kazi la Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo.

Baraza Dogo la Shule Kuu ya Uchumi Kilimo na Stadi za Biashara (COEBS) linaomba Baraza kuu la Wafanyakazi kupokea, kujadili na kutolea maamuzi hoja hizi.

Related Posts

https://www.pria.org/https://www.vicino-oriente-journal.it/https://cefta.int/https://www.ami-awards.com/https://www.cihanturkhotel.com/slot gacor maxwin