Haya ni mafunzo kwa wawezeshaji yaliyo tolewa katika Ndaki ya Uchumi Kilimo na Stadi za Biashara (CoEBS) ya Chuo Kikuu cha Sokoine Chakilimo (SUA)
Bi Kamilembe Mutasa Mkurugenzi Mazingira Ofisi ya Raisi ndiye aliyefungua rasmi mafunzo haya.
Mafunzo haya yanatoka katika Ofisiya Makamu wa Raisi ,IFAD na GEF chini ya usimamiziwa Mhandisi Joseph Kihaule
AB Consult iliwezesha mafunzo haya ambayo yalilenga nyanda kame za wilaya tano ambazo ni District (Kondoa, Magu, Micheweni, Mkalama and Nzega district)
Wawezeshai wa mafunzo walitokea katika Ndaki ya Uchumi Kilimo na Stadi za Biashara (CoEBS) ya Chuo Kikuu cha Sokoine Chakilimo (SUA) ambao ni Prof.Hella ,Dr Longo pamoja na Bi Hilder
Prof.Hella akiwa anaelezea mada katika namna yakutunza mazao baada ya mavuno
Wawezeshaji walitembelea SUGECO na kujifunza namna ya kuhifadhi mazao pamoja na kuyaongezea thamani
Mmja wa wanasemina akichangia mada
MS Hilder akiwa anatoa mada ya uwekezaji