MBINU ZA KUTENGENEZA KITUO CHA KUSANISI MATOKEO YA TUTAFITI

Mdahalo Mkubwa wa Watafiti na Watunga Sera ulifanyika siku ya  Jumamosi tarehe 5/9/2020 katika Ukumbi wa Nelson Mandela Freedom Square (Solomon Mahlangu Campus –Mazimbu Morogoro) kuanzia saa 3 Asubuhi.

Katika mdahalo huo Mgeni rasmi alikua Prof.Riziki Shemdoe Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda na Biashara.

Mada kuu ilikua Changamoto na Suluhisho la Kuwezesha Tafiti Kuzaa Sera

Katika Mdahalo huo ulishirikisha watafiti kutoka vyuo vikuu vyote nchini wanafunzi wa shahada za,uzamivu , uzamili,shahada za kwanza pamoja na wadau mbali mbali

Kwa maelezo zaidi bofya hapa

https://www.youtube.com/watch?v=3ktWdegCd7E&feature=youtu.be

Related Posts

https://www.pria.org/https://www.vicino-oriente-journal.it/https://cefta.int/https://www.ami-awards.com/https://www.cihanturkhotel.com/