MKUTANO WA BARAZA DOGO LA WAFANYAKAZI COEBS_2 JUNI 2021

IMG 20210602 WA0008

IMG 20210602 WA0008

 

Mkutano wa Baraza Dogo la Wafanyakazi la Shule Kuu ulifanyika siku ya jumatano tarehe 2/6/2021 kuanzia saa 3:00 asubuhi katika ukumbi wa mikutano wa Shule kuu.

Ajenda mbalimbali ziliwasilishwa ikiwemo  majibu ya hoja zilizowasilishwa Baraza Kuu la 121 la wafanyakazi SUA ikiwepo; garama za mtambo wa maji, malipo ya likizo, malipo ya kutahini tasnifu na malipo ya kusahihisha karatasi za mitihani za ziada.

20210602 104059

Mwenyekiti wa Baraza Dogo, Dk. S. Hokororo (kushoto mbele) pamoja na Amidi was Shule kuu, Dk. P. Damas ( kulia mbele) wakipokea maoni mbalimbali kutoka kwa wafanyakazi

 

Related Posts

https://www.pria.org/https://ula.kemendagri.go.id/https://fkip.unsulbar.ac.id/https://rskiasawojajar.co.id/https://satvika.co.id/https://lpmpp.unib.ac.id/https://cefta.int/https://terc.lpem.org/http://ebphtb.linggakab.go.id/https://eproc.jawapos.co.id/https://lppm.unika.ac.id/https://indolivestock.com/https://dompetalquran.or.id/