COEBS YAPOKEA VIMBWETA KWA WAHITIMU WA SHAHADA YA UCHUMI KILIMO WA MWAKA 1998-2001.

Vimbweta 1
Amidi wa Shule Kuu ya Uchumi Kilimo na Stadi za Biashara (COEBS), Dr. Damas Philip, tarehe 11/12/2020, amezindua mradi wa vimbweta vilivyojengwa kwa hisani ya wahitimu wa shahada ya Uchumi Kilimo na Biashara (Bsc. AEA) mwaka 1998-2001. 
 
Uzinduzi huo umeambatana na risala ya wahitimu hao iliyosomwa na mwakilishi wao Dr. Isaack Michael aliyetokea Dar es Saalam. Baadhi ya wahitimu hao ni wafanyakazi wa COEBS, Dr. Elibariki Msuya na Malack C. Omolo
 
Amidi wa Shule Kuu, Dr. Damas Philip, alitoa shukrani kwa niaba ya wafanyakazi wa COEBS, na kuwahimiza wazidi kufanya hivyo katika siku zijazo
 
Vimbweta 1

Pichani kulia ni Amidi wa Shule kuu ya Uchumi Kilimo na Stadi za Biashara akipokea risala iliyosomwa na Dr.Isaack Michael (Kushoto) mmoja wa wahitimu wa mwaka 1998-2001

Vimbweta 2
 
vimbweta 3
Vimbweta 5
 

Related Posts

https://www.pria.org/https://www.vicino-oriente-journal.it/https://cefta.int/https://www.ami-awards.com/https://www.cihanturkhotel.com/slot gacor maxwin