Amidi wa Shule Kuu ya Uchumi Kilimo na Stadi za Biashara (COEBS) anakualika katika semina fupi juu ya uuzaji na utafutaji wa masoko ya mazao ya mbogamboga. Mwasilishaji wa mada ni Bw. Elisha Otaigo, mjasiriamali katika kilimo biashara.
Bw. Otaigo Elisha (31), ni mhitimu wa Shahada ya Uchumi wa Kilimo na Kilimo Biashara (BSc AEA) katika Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoine (SUA) mwaka 2013. Mwaka 2016 nilijiunga na Chuo Kikuu cha Bogor (IPB) nchini Indonesia kusomea Shahada ya Uzamili ya Uchumi wa Maliasili na Mazingira na kufanikiwa kuhitimu mwaka 2019
- TUZO ALIZOSHINDA
- 3N competition iliyofadhiliwa na Marehemu Dr. Mengi,
- Youth Citizenship entrepreneurship competition (second and people’s choice winner) Nchini Ujerumani,
- UN Innovation Lab (Most scalable and sustainable business), Nchini China
- Young green tech (YGT) winner- Nchini China,
- TEF winner- Nchini Nigeria,
- UNLEASH award, Nchini Singapore,
- Agritech competition second winner,Nchini Austria,
- 4Revs Innovation Challenge second winner, Nchini Colombia.
- Ili kushiriki wasiliana na Bi Mahoo kwa namba 0673 901 115
KARIBUNI SANAAlso can be viewd on Pdf by clicking here SEMINA