UCHAGUZI MDOGO WA MJUMBE MWAKILISHI KWENYE BARAZA KUU LA WAFANYAKAZI KATIKA SHULE KUU

20210507 103316 min

20210507 103316 min 

 

UCHAGUZI MDOGO WA MJUMBE MWAKILISHI KWENYE BARAZA KUU LA WAFANYAKAZI KATIKA SHULE KUU

Mkutano wa Uchaguzi mdogo wa mjumbe mwakilishi kwenye baraza kuu la wafanyakazi umefanyika siku ya ijumaa tarehe 7 Mei 2021, katika ukumbi wa mkutano wa jengo la Shule Kuu. Uchaguzi huu umefanyika ili kumpata mjumbe mwamkilishi atakaye chuka nafasi ya Mjumbe aliyekuwepo ambaye amehamia Idara nyingine, hivyo kupoteza sifa kulingana na kifungu Na. 5.2 (b) cha Kanuni za Mkataba wa Uundaaji wa Baraza Kuu la Wafanyakazi wa SUA.

Mkutuna wa Uchaguzi mdogo ulihudhuriwa na wadau 15 ikiwepo Amidi wa Shule kuu Dr. Phillip Damas, Wakuu wa Idara, Katibu Mkuu wa Baraza Kuu la wafanyakazi (Bi. D. Siguru), Afisa kazi Mkoa (Bw. Peter Sembiagi) na Mwenyekiti wa RAU (Bi. Gaudensia L. Donati).

 Shule kuu inatoa salama za pongezi kwa Bi. Patricia S. Benedict kwa kuchaguliwa kuwa Mjumbe mwakilishi  wa Baraza Dogo kwa upande wa wafanyakazi waendeshaji katika Shule Kuu.

20210507 104427 2 min

Bi. Patricia S. Benedict (kwanza kushoto) akitoa shukrani kwa wajumbe kwa kuchaguliwa kuwa Mjumbe mwakilishi  wa Baraza Dogo kwa upande wa wafanyakazi waendeshaji katika Shule Kuu.

Related Posts

https://www.pria.org/https://www.vicino-oriente-journal.it/https://cefta.int/https://www.ami-awards.com/https://www.cihanturkhotel.com/slot gacor terbaik