UCHAGUZI MKUU WA WAWAKILISHI WA MABARAZA MADOGO KWENYE MIKUTANO YA BARAZA KUU LA WAFANYAKAZI KWA UPANDE WA SHULE KUU (COEBS)

PAGE

PAGE

 

Mnamo tarehe 27 Agosti 2020, uchaguzi mkuu wa wawakilishi wa mabaraza madogo kwenye mikutano ya baraza kuu la wafanyakazi ulifanyika kwa upande wa shule kuu (COEBS).

UTANGULIZI

Naibu katibu wa Baraza kuu (SUA) Bwana A. Hassan (Katikati) alifugua kikao kwa kuwashukuru wahudhuriaji na pia kutoa utambulisho mfupi wa viongozi: Dk. P. Damas – Mwenyekiti, Bw. Julius Mkunga- Afisa kazi/Mkoa/Msimamizi wa Uchaguzi (kulia), Bi D. Siguru- Katibu wa Baraza Kuu (kushoto) na wajumbe.

Shule Kuu inatoa pongezi kwa Dr. Silver Hukororo na Bi. Anna Mollel kwa kuchaguliwa kuwa wawakilishi wa baraza dogo kwa upande wa wafanyakazi wanataaluma  na wafanyakazi waendeshaji kutoka Shule Kuu (COEBS)

IMG 20200827 WA0054Dr. Hokororo akitoa maneno ya shukrani kwa wajumbe na kuhaidi kutekeleza majukumu yao kwa uweledi

IMG 20200827 WA0038

Amidi wa Shule kuu Dr. P. Damas akitoa neno la pongezi kwa viongozi walio chaguliwa na kufunga kikao.

Related Posts

https://www.pria.org/https://www.vicino-oriente-journal.it/https://cefta.int/https://www.ami-awards.com/https://www.cihanturkhotel.com/slot gacor maxwin