Wakulima zaidi ya 30 wapata mafunzo SUA

IMG 20211025 WA0000

Haya ni mafunzo yaliyotolewa na Chuo Kikuu cha kilimo cha Sokoine (SUA) na Taasisi ya African Economic Research Consortium (AERC), inayo jishughulisha na masuala ya uchumi na utafiti yenye makao makuu nchini Kenya

Wakulima zaidi ya 30 wamefundishwa ujasiriamali na namna ya kufanya kilimo biashara ili kujikwamua kiuchumi

Mratibu wa AB-Consult CoEBSSUA Lubango Mayenga alisema lengo l mafunzo haya ni kuwasaidia wakulima kuelewa kilimo biashara kwa kuwafundisha mbinu zinazotumika ili kufanikisha biashara zao

Mhadhiri Mwandamizi na Mkuu wa Idara ya Uchumi Kilimo na Biashara  ,Dr Daniel Ndyetabula alisema wamewafundisha wakulima namna ya kujiratibu katika shughuli za uzalishaji ,usafirishaji na uchakati. Kiongozi wa AERC, Evar Kiambuthi alisema taasisi hiyo na vitengo vya utafiti na mafunzo wamekua

Related Posts

https://www.pria.org/https://ula.kemendagri.go.id/https://fkip.unsulbar.ac.id/https://rskiasawojajar.co.id/https://satvika.co.id/https://lpmpp.unib.ac.id/https://cefta.int/https://terc.lpem.org/https://empowerment.co.id/https://pgsd.fkip.unsulbar.ac.id/https://ilmuhukum.unidha.ac.id/http://ebphtb.linggakab.go.id/https://gizi.poltekkespalembang.ac.id/https://eproc.jawapos.co.id/https://lppm.unika.ac.id/https://indolivestock.com/